Copy the code below and paste it into your website.
Download our desktop apps
SIKITO RADIO FM
Karibu SIKITO RADIO FM.. Radio ya injili kutoka monduli Arusha.Tunahubiri Neno la MUNGU lisiloghoshiwa , maombi na maombezi,sifa na kuabudu na ukombozi wa nafsi iliyo ya thamani mbele za MUNGU Jehovah aliye hai
SIKITO RADIO FM ni Radio ya injili kutoka Monduli Arusha Tanzania.NiNi huduma ya Neno, maombi,maombezi, maombi ya mkesha na ukombozi wa nafsi.Kama lilivyo jina la Radio, "SIKITO..1PETRO 2:2 "lenye maana ya maziwa ya mwanzo ya ng'ombe.... Hivyo Radio SIKITO itafundisha na kuhuburi Neno la MUNGU lisiloghoshiwa Hadi Kristo YESU BWANA atakaporudi kuja kuchukua kanisa lake Amen Amen Amen